‘We Talking Money You Talking Nonsense’ huenda ikawa kauli nzuri kuelezea hiki walichokifanya P-Square kwa sasa
Peter ameshare picha hizi nne ambazo
wiki hii zitakuwa gumzo barani Afrika ambapo kwenye picha moja
inayomuonesha pacha mwezie Paul akiwa amesimama kwenye sebule mpya
inayoaminika kuwa ya nyumba yao mpya, ameandika ‘Goldenworld #blessed.’
Kwenye picha nyingine, wanaoonekana
wakiwa pamoja kwenye sebule hiyo iliyotawaliwa na kile kinachoonekana
kama dhahabu zilizozunguka sofa za kuvutia na Peter ameandika: #2kings……
Work hard,play harder.’
No comments:
Post a Comment