Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 23, 2013

MPIRA WA BONGO BWANA::HAWA SI WALISEMA HAWAMTAKI RAGE?WATAZAME WALIVYOMPOKEA KWA SHANGWE JANA

rageMWENYEKITI wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage amewasili Dar es salaam Tanzania jana usiku akitokea Sudan ambapo alipokelewa na baadhi ya Wanachama wa Simba kwenye Uwanja wa ndege wa mwalimu JK.Nyerere.


DSC_0023
DSC_0005            Baadhi ya Wanachama wa Simba wakicheza wakati wa mapokezi.

No comments:

Post a Comment