MPIRA WA BONGO BWANA::HAWA SI WALISEMA HAWAMTAKI RAGE?WATAZAME WALIVYOMPOKEA KWA SHANGWE JANA
MWENYEKITI wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage amewasili Dar es salaam Tanzania jana usiku
akitokea Sudan ambapo alipokelewa na baadhi ya Wanachama wa Simba
kwenye Uwanja wa ndege wa mwalimu JK.Nyerere.
Baadhi ya Wanachama wa Simba wakicheza wakati wa mapokezi.
No comments:
Post a Comment