Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 30, 2013

NEW HIT SONG::NIMEONA JOS MTAMBO DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA

Mkali toka Kigamboni anayetamba na hit song “Shut Up” ambayo ilipewa utamu kwenye Chorus na mwanadada Pipi, Jos Mtambo anakuja na jiwe lingine tena toka jikoni, Tongwe Records, Oysterbay Dar es salaam ambako mdundo huu umesukwa…
JOS MTAMBO
“Nimeona” ndo jina la ngoma hii mpya ambayo imepikwa na produza J Ryider…Nimeona ni moja ya track ambayo ipo kwenye albam yake, Jos, iitwayo “Wakigambo” Kuwa wa kwanza kuiskia hapa chini


 

No comments:

Post a Comment