Siku ya jana asubuhi maswali mengi yamejitokeza kutokana na yule mwana dada mwenye ngoma kali ambayo inasumbua jiji ya Sugua Gaga maarufu kama Shaa, Kupost kitu kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram ambacho kimefanaya mashabiki na wapenzi wa muziki wake kujiuliza maswali.
Msanii huyu mahiri leo asubuhi amepost picha ya vifaa vya vya malezi ya mtoto mchanga kama chupa za kuwanyonyeshea watoto, vitambaa kwa ajili ya kumvisha mtiti wakati wa kumlisha n.k. na kisha kuandika “Baby shopping yaanza … Am sooo Excited.
No comments:
Post a Comment