Waumini
wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakiweka udongo ndani ya kaburi la
Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kwenye
makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Waumini
wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba mwili wa Marehemu
RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kuelekea kwenye
makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwenye mazishi ya Marehemu RanKeem Ramadhan yaliyofanyka kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.

Mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan ukifikishwa kwenye Nyumba yake ya Milele.
Wadau
mbali mbali wakiwa kwenye Mazishi ya Marehemu RanKeem Ramadhan jioni
hii kwenye Makaburi ya Sinza,jijini Dar es Salaam jioni hii.
Mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan ukiswaliwa mapema leo jioni kabla ya kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kuelekea kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii. PICHA KWA HISANI YA MICHUZI JR

No comments:
Post a Comment