Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisoma hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge
mjini Dodoma Novemba 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wabunge wakimpongeza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kusoma
hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge mjini Dodoma Novemba 9, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mke
wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya
Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo (watatu kulia), Mbunge wa
Namtumbo, Vita Kawawa (wapili kulia) na Mbunge wa Iramba Magharibi,
Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
BALOZI WA JAPANI AMALIZA MUDA WAKE WA UWAKILISHI NCHINI
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Mahmoud Thabit Kombo amemuaga Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa
anayetaraj...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment