Pages

Saturday, November 9, 2013

PINDA AAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE


PG4A1193Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisoma hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge mjini Dodoma Novemba 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A1241Baadhi ya wabunge wakimpongeza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kusoma hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge mjini Dodoma Novemba 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A1255Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Waziri wa Maendeleo  ya  Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo  (watatu kulia), Mbunge wa  Namtumbo, Vita Kawawa (wapili kulia) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu  Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment