Mmoja
wa machifu wa Kisukuma eneo la Bariadi ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi
Mashariki Andrew Chenge akimvika vazi la kijadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete wakati wa hafla ya kumpa uchifu Rais Kikwete iliyofanyika mjini
Bariadi,Mkoa mpya wa Simiyu leo.Rais Kikwete alipewa jina la kisukuma la
Chifu Ng’humbu Banhu lenye maana ya Anayekumbuka na kuthamini Watu. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amekalia kigoda cha Uchifu wa Bariadi
baada ya kuwa Chifu Ng’humbu Banhu mjini Bariadi Mkoa mpya wa Simiyu
leo.Rais Kikwete yupo katika Ziara ya Kikazi Mkoa mpya wa Simiyu(picha
na Freddy Maro)
RAIS MWINYI: ZANZIBAR NA COMORO KUENDELEZA UHUSIANO WA KIBIASHARA
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali
Mwinyi amesema wakati umefika wakurejesha diplomasia ya Uchumi na
kuendeleza ...
26 minutes ago
No comments:
Post a Comment