skip to main |
skip to sidebar
Picha, Wasanii Kumi Wasio Vuta Wala Kutumia Kilevi Chochote.
Rapper na mfanya biashara mkubwa 50 Cent amefungua orodha ya wasanii
wasio vuta wala kutumia kilevi chochote. Nakusanua kuwa anapenda
kuonekana anafanya vitendo hivyo kwenye filamu na video zake ila kwenye
maisha ya kweli hapendi kabisa pombe wala kuvuta sigara. Wasanni wengine
wako hapa
Hopsin
Andre 3000
Tyler The Creator
Lecrae
K'Naan
Rob Base
Boots Riley
Lauryn Hill
Source-hiphopwired.com
No comments:
Post a Comment