Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 25, 2013

RAIS DKT. KIKWETE AKUTANA MA JOPO LA USULUHISHI WA MIGOGORO


c4c5Rais DKT. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa Afrika  linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo Novemba 25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni mwenyekiti wa Jopo hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya kufanya hivyo hivi karibuni  huko Blantyre.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment