RAIS DKT. KIKWETE ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO LONDON
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na baadhi ya
Watanzania waishio jiji la London Uingereza jana jioni muda mfupi kabla
ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria Mkutano wa Open Government
Partnership.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
Watanzania waishio jiji la London nchini Uingereza jana jioni(Picha na
Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment