Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 2, 2013

RAIS DKT. KIKWETE ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO LONDON

D92A9292Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London Uingereza jana jioni muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria Mkutano wa Open Government Partnership.
D92A9317Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London nchini Uingereza jana jioni(Picha na Freddy Maro)  

No comments:

Post a Comment