Tanzania imepata bahati
nyingine tena ya kutembelewa na ,kombe la dunia atakalopewa mbabe wa kabumbu Duniani ,ni kombe linaloheshimika
sana duniani kote..Hafla ya kulipokea
imefanyika usiku wa jana ndani ya viwanja vya hotel yaSerena jijini Dar ,na diamond kama balozi wa Coca cola nilikuwepo na nilipangwa
kama mmoja ya wasanii wa Kitanzania tuliotumbuiza
angalia picha chache hapa........
angalia picha chache hapa........
Home sweet home,nikijiandaa......... |
personal security officer,call him Mwarabu akiwa satandby kabisa akimsubili diamond... |
hotelini@Serena hotel,kulikwa
na ulinzi wa hali ya juu sanaa.........
Tukikwea ngazi kuelekea kwenye vyumba vyetuIn my room kabla ya wasaa wa WCB kufanya yetu
Backstage Kazi ikaanza kihivii.............!!!!
Kwani nani amenunaa........!!!!!!!!!!!
Mwali mwenyewe...!!!
Hapa sasa.ngololo ngololo..!!!!!!!!!
Aha aaha aaha aipooh..aah aipooh............!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment