Hii ndio ndege
pekee aina ya McDonnell Douglas MD-83 inayozunguka la Kombe la Dunia la
Fifa katika nchi mbali mbali Duniani,na leo Kombe hilo lipo jijini Dar
na tayari mambo yameanza kupamba huko Uwanja wa Taifa kwa kuwawezesha
watu mbali mbali kuweza kuliona na kupiga nalo picha.Burudani mbali
mbali zitatolewa leo kwenye Uwanja huo wa Taifa.
Othman Michuzi
akizama ndani ya pipa hilo libebalo Kombe lenye hadhi kubwa Duniani
kote, akitokea jijini Nairobi nchini Kenya jana kuja Tanzania.
Msanii wa Muziki
kutoka nchini Brazil,David Correy (kulia) akiwa na DJ wake ndani ya
Ndege hiyo wakati wa Safari ya kutoka Jijini Nairobi nchini kwenye kuja
Tanzania.David Correy ndie Balozi Coca - Cola ambaye anatumbuzi kwenye
kila Tamasha la Maonyesho ya Kombe hilo Duniani kote.
Othman na Dada
Waithera Kabiru ambaye ni Meneja Masoko wa Kidigita (Digital Marketing
Manager) wa Kampuni ya Coca-Cola nchini Kenya,wakati wa Safari yetu yao
kutoka Jijini Nairobi kwenda Mwanza.
Wadau ndani ya Dege hilo.
Nchi ambazo Kombe hilo litapita kama zionekanavyo ndani ya Ndege hiyo.
No comments:
Post a Comment