skip to main |
skip to sidebar
TCRA 10 YEARS ANNIVERSARY IN ARUSHA
pichani ni kaimu mkuu wa mkoa wa
Arusha na dc wa Monduli Jowika Kasunga akifungua semina ya siku moja ya
maazimisho ya miaka 10 ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania jijini Arusha
Jana kwenye hotel ya Naura springs.
Meneja wa kanda ya kaskazini injinia
Aneth Matindi akitoa akisoma taarifa ya mamlaka hiyo mbele ya waalikwa
walioshiriki semina hiyo iliyoenda sambamba na maadhimisho ya miaka kumi
ya mamlaka hiyo jana kwenye hotel ya naura springs jijini Arusha.
Picha ya pamoja ya wadau wa
mawasikliano wakiwa na mgeni rasmi dc Jowika kasunga na Meneja wa
mamlaka hiyo kasnda ya kaskazini injinia Aneth Matindi(picha zpte na
mahmoud ahmad arusha)
No comments:
Post a Comment