skip to main |
skip to sidebar
MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AENDESHA ZOEZI LA HARAMBEE YA KUCHANGIA MADAWATI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi chaeti, Mkurugeniz
wa Kagera Sugar, Hamadi Yahaya, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake
wa kuchangia maendeleo ya Elimu ya Jimbo la Nkenge mkoa wa
Kagera,wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya
Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia
shule za msingi za Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana
na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla ya
kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la
Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo hilo.
Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu
wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe. Picha na OMR
Meza Kuu wakijumuika kuimba wimbo
maalumu wa mkoa wa Kagera wa kuhamasisha maendeleo ya mkoa huo, hususan
katika suala la elimu na kuchangia madawati
No comments:
Post a Comment