Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo
mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya
kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana
anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye.CHANZO GPL
TAARIFA KWA UMMA: TANGAZO LA UHAKIKI KWA WASTAAFU NA WATEGEMEZI
-
Litumwe kwa DIRECTOR GENERAL
NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF)
P.O.BOX 1322
...
25 minutes ago
No comments:
Post a Comment