Khalid Mohamed aka TID (Top in Dar) ametangaza kufanya collabo na msanii mrembo wa Ethiopia aitwaye Azeb Wendwosen.“She is called Azeb an Ethiopian Artist who is duin a single with me currently…” TID mnyama ameandika kupitia Instagram na kuweka picha ya msanii huyo mrembo kwelikweli.
Baada
ya kumtafuta kwa simu kuzungumiza swala hilo big boss huyo wa Top Band
amesema atatoa taarifa kamili juu ya collabo hiyo soon.
Tazama picha na video za mrembo huyo kutoka Addis Ababa, Ethiopia
No comments:
Post a Comment