Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 25, 2013

TPF6: Washiriki wote waingia probation, Watanzania Tumpigie kura Hisia Abaki

Shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita jana Jumapili lilikuwa na surprise nyingine kubwa. Tofauti na Jumapili ya nyuma ambapo hakuna mshiriki aliyeingia kwenye probation, jana ikawa kinyume chake,  washiriki wote wameingia kwenye probation wiki hii.
Hatari katika hatua kama hii ni kuwa kila nchini itakuwa ikiwapigia kura washiriki wao tu na hivyo Tanzania inapaswa kufanya hivyo pia ili kumwokoa mshiriki pekee aliyebaki, Hisia.
Ili kumpigia kura Hisia, unatakiwa kutuma ujumbe TUSKER 12 kwenda namba 15324 unaweza kupiga kura online http://tusker.mobi



No comments:

Post a Comment