Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 1, 2013

WATUHUMIWA 5 WALIOFANYA VURUGU MECHI YA MBEYA CITY NA PRISONS WAHUKUMIWA JELA MIEZI 12 NA FAINI 300,000




MAHAKAMA ya mwanzo, mjini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya 
 
sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi 
 
kuu ya Vodacom kati ya Mbeya city na Tanzania Prisons.Tunaipongeza mahakama kwa maamuzi yaliyofanywa ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Na Mbeya yetu
HAPO CHINI NI PICHA ZIKIONYESHA UHARIBIFU ULIOFANYWA NA MASHABIKI HAO














 

No comments:

Post a Comment