Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni
mwa wawekezaji 65 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya
nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege
la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini
Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr.
Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya
Tanzania PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- JKN AIRPORT
Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiongozana na kiongozi
wa wawekezaji hao Bw. Malin kushoto ni Bw Hassan mmoja wa waratibu wa
ujio wa wawekezaji hao.Balozi
wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji
hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia.Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment