Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 14, 2013

BASI LA SIMIYU EXPRESS LAUA WAWILI NA 14 HOI HOSPITALINI


Picha na Maktaba
WATU wawili wamekufa na wengine 14 kujeruhiwa baada ya basi waliolokuwa
wakisafiria la Simiyu Express kupinduka katika eneo la Ihumwa nje kidogo ya
manispaa ya Dodoma.za usajili T 717 ANL aina ya scania basi lilikuwa
likiendeshwa na dereBasi hilo lenye namb ava aliyetambulika kwa jina la Mramba Issa (31).nda wa Polisi mkoani hapa Susan Kaganda, alisema kuwa basi lo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kaimu Kam a lilikuwa linatokeaBariadi kwenda Dar es salaam likiwa na abiria 60 liliacha njia na kupinduka tisa usiku katika barabar kutokana na mwendo kasi .Kamanda alisema kwamba ajali hiyo ilitokea leo alfajiri majira ya saa a ya Dodoma-Dar es salaam eneo la Elshadai . Kamanda Kaganda aliwataja waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni pamoja na
kolo, Bariadi. Aidha kamanda akizungumzia zaidi ajali hiyo alisema kwam
dereva wa basi hilo Mramba Issa mkazi wa Magomeni Dar es salaam na Frola Erenest(21) Mwali wa shule ya msingi Mwamoto kol oba basi hilo lilikuwa likiwakwepa askari wa barabarani kwa kupita njia za panya. Alifafanua kuwa kwa basi hilo kusafiri usiku huo ni kukwepa askari .
Aliwataka pia wamiliki wa magari kuweka madereva wawili kwa magari ya
masafa marefu na pia wazingatie sheria za barabarani.

No comments:

Post a Comment