Tukiwa
tunaelekea kuumaliza mwaka 2013 vyombo mbalimbali vimeendelea kutoa
tathmini ya mwaka kwa kazi wanayoifanya na kutoa picha ya kile
kilichopendwa zaidi na watu.
Search
engine ya Bing imetoa majina kumi ya watu waliotafutwa zaidi kwenye
mtandao huko Marekani na Beyonce Knowles ameshika nafasi ya kwanza.
Beyonce amemfunika Kim Kardashian ambaye ameshika nafasi ya pili na Rihanna aliyeshika nafasi ya tatu.
Rais
wa Marekani Barack Obama amefunga list ya majina kumi, na kushika
nafasi ya kumi huku wanamuziki wakionekana kuiteka list hiyo.
Beyonce pia ameshika nafasi ya kwanza kwa wanamuziki waliotafutwa zaidi mwaka huu kupitia mtandao kwa mujibu wa Bing.
Hata
hivyo Justin Bieber ameonekana kung’aa zaidi Uingereza ambapo ameshika
nafasi ya kwanza kama mtu aliyetafutwa zaidi Uingereza akifuatiwa na
Queen Bay, huku akishika nafasi ya sita kwa upande wa Marekani.
Hii ni orodha kamili ya watu waliotafutwa zaidi Marekani na Uingereza kwa mujibu wa Bing.
The most-searched people in the U.S.:
1. Beyonce Knowles
2. Kim Kardashian
3. Rihanna
4. Taylor Swift
5. Madonna
6. Justin Bieber
7. Nicki Minaj
8. Amanda Bynes
9. Miley Cyrus
10. Barack Obama
The most-searched people in the U.K.:
1. Justin Bieber
2. Beyonce Knowles
3. Kate Middleton
4. Selena Gomez
5. Nicole Scherzinger
6. Rihanna
7. Kim Kardashian
8. Taylor Swift
9. Emma Watson
10. Kelly Brook
No comments:
Post a Comment