Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami
Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjarooooo
Ajali mbaya imetokea mda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,Dj sek blog imefanikiwa kupata picha kadhaaa za ajali hiyo,Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG
DKT. KIJAJI: TANAPA, TAWA NENDENI NA KASI YA RAIS SAMIA KUCHECHEMUA UTALII
-
Na Sixmund Begashe, Iringa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka taasisi za
uhifadhi nchini, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ...
2 hours ago





No comments:
Post a Comment