Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 3, 2013

ENGINEER FELCHESMI MRAMBA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO


Engineer Felchesmi Mramba


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Engineer Felchesmi Mramba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam , Jumatatu, Desemba 2, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza leo hii.

Kabla ya uteuzi wake, Eng. Mramba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Tanesco

No comments:

Post a Comment