KAJALA APETA MAHAKAMA YARIDHIA HUKUMU ILIYOTOLEWA KWA KULIPA FAINI YA MIL 13.
Kajala Masanja.
Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia
huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Kajala sasa anapeta
katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye
anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha
fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
VIA GPL
No comments:
Post a Comment