MZEE ONYANGO ARUDI KWA KASI KWENYE TASNIA YA FILAMU,NA HII NDIYO FILAMU ALIYOCHEZA
Unamkumbuka Mwigizaji gwiji na maarufu Mzee Onyango?Basi karudi tena kwa kasi kwenye Tasnia ya filamu,Na Filamu iliyomrudisha inaitwa HUKUMU YANGU pata mda wako wa kuitazama utamfurahia mzee huyu mahiri kwa kuigiza.
No comments:
Post a Comment