Mwaka jana katika
mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa
Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena
mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho (Emmanuel Msuya) Alitumia tena
wimbo wa Ben Pol na ukampa alama za juu na kufanya ashinde. Kutokana
na hatua hiyo soma alichokiandika Ben Pol na jinsi anavyojisikia kwa
sasa..
MIRADI YA MAENDELEO INAYOENDELEA KUJENGWA ZANZIBAR INA LENGO LA
KUWABORESHEA WANANCHI HUDUMA BORA NA ZA HARAKA.
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Hemed Suleiman Abdulla
amesema Miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa Zanzibar ikiwemo ujenzi
wa masoko ma...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment