TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye
michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya
kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao 1-0 katika mechi
iliyomalizika hivipunde kwenye Uwanja wa Kenyatta uliopo jijini
Nairobi!
Bao la Harambee Stars limefungwa na Miheso dakika ya 5.
BALOZI NCHIMBI ATOA SOMO UVCCM
-
-Awataka kushindana kwa hoja, akiwakabidhi jukumu zito Serikali za Mitaa
-Asema “CCM itawashinda kwa namna ambavyo hawajawahi kushindwa”
Katibu Mkuu wa Cha...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment