Pages

Tuesday, December 10, 2013

KILIMANJARO STARS YAKWAA KISIKI KWA HARAMBEE STARS...!


TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao 1-0 katika mechi iliyomalizika hivipunde kwenye Uwanja wa Kenyatta uliopo jijini Nairobi! 
Bao la Harambee Stars limefungwa na Miheso dakika ya 5.

No comments:

Post a Comment