Pages

Tuesday, December 10, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZUIA RUSHWA DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_1444Waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika Maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika huko katika Uwanja wa Judo Amaan Mjini Zanzibar.DSC_1483Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya kuzuia rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar Mussa Haji Ali akitoa hotuba ya makaribisho katika Maadhimisho ya siku ya Kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika huko katika Uwanja wa Judo Amaan Mjini Zanzibar.DSC_1496Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika Kiwanja cha Judo Amaan Mjini Zanzibar kulia yake ni  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Ikulu na EUtawala Bora Salum Maulid na Kushoto yake ni Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kuzuia Rushwa Zanzibar Mussa Haji Ali.DSC_1505Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Mamlaka ya kuzuia Rushwa Zanzibar,katika Maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika uwanja wa Judo Amaan Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
 

No comments:

Post a Comment