Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 3, 2013

SPIKA WA BUNGE MH. ANNE MAKINDA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI LEO‏


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Bungeni Dodoma hiyo. Kamati hiyo imekaa leo kupitia ratiba ya shughuli zitakazokuwemo kwenye mkutano wa 14 wa Bunge ulioanza leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.
Wajumbe wa Management ya Bunge ambao ni Maafisa wa Bunge wakifuatilia kwa umakini kikao hicho cha kamati ya Uongozi.  Picha na Owen Mwandumbya

No comments:

Post a Comment