WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 09/12/2013.
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani
na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Kigoma naTabora]:
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi
vifupi vya jua
|
|
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mkoa wa Shinyaga ]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vya
jua
|
|
[Mikoa ya Ruvuma na
Morogoro ]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
ANGALIZO: ONGEZEKO
LA MVUA LINATEGEMEWA KATIKA MAENEO YA MIKOA ARUSHA
KILIMANJARO NA MANYARA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
16°C
|
12:17
|
12:31
|
D'SALAAM
|
30°C
|
23°C
|
11:59
|
12:27
|
DODOMA
|
30°C
|
20°C
|
12:15
|
12:36
|
KIGOMA
|
27°C
|
19°C
|
12:40
|
01:02
|
MBEYA
|
24°C
|
14°C
|
12:19
|
12:53
|
MWANZA
|
27°C
|
17°C
|
12:32
|
12:44
|
TABORA
|
27°C
|
17°C
|
12:28
|
12:50
|
TANGA |
30°C
|
24°C
|
12:03
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
24°C
|
11:59
|
12:27
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km
20 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini
na
kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa saa kwa pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
11/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 09/12/2013.
No comments:
Post a Comment