Pages

Monday, December 9, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 09/12/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 09/12/2013.
           
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na  Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Kigoma naTabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:



Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua
[Mikoa ya  Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya  Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mkoa wa Shinyaga ]:




Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro ]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
ANGALIZO: ONGEZEKO LA MVUA LINATEGEMEWA KATIKA MAENEO YA MIKOA                                               ARUSHA KILIMANJARO NA MANYARA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C                          
16°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
30°C           
23°C
11:59
12:27
DODOMA
30°C
20°C
12:15
12:36
KIGOMA   
27°C
19°C
12:40
01:02
MBEYA
24°C
14°C
12:19
12:53
MWANZA
27°C
17°C
12:32
12:44
TABORA
27°C
17°C
12:28
12:50
TANGA
30°C
24°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
30°C           
24°C           
11:59
12:27

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa Pwani ya Kaskazini 
                                na kutoka Kusini-Mashariki  kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 11/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                           
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 09/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


No comments:

Post a Comment