WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 07/12/2013.
[Mikoa ya Kigoma, Iringa,
Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi na
Ruvuma]:
[Mkoa wa Morogoro(
Kusini)]:
|
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya
Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Shinyaga na
Tabora]:
|
|
Hali
ya mawingu Kiasi, mvua na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vya
jua
|
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani
na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro (
Kaskazini)]:
|
|
Hali ya mawingu Kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24C
|
16°C
|
12:17
|
12:31
|
D'SALAAM
|
33°C
|
23°C
|
11:59
|
12:27
|
DODOMA
|
32°C
|
20°C
|
12:15
|
12:36
|
KIGOMA
|
28°C
|
20°C
|
12:40
|
01:02
|
MBEYA
|
28°C
|
15°C
|
12:19
|
12:53
|
MWANZA
|
28°C
|
18°C
|
12:32
|
12:44
|
TABORA
|
26°C
|
19°C
|
12:28
|
12:50
|
TANGA |
32°C
|
24°C
|
12:03
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
24°C
|
11:59
|
12:27
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumaKutoka Mashariki kwa kasi ya km
20 kwa saa kwa
Pwani yote.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
09/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/12/2013.
TUNAOMBA BOFYAHAPA LIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI NA ZA KUSISIMUAAA(USIPITWEEE)
No comments:
Post a Comment