Pages

Saturday, December 7, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 07/12/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 07/12/2013.
[Mikoa ya Kigoma, Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mkoa wa Morogoro( Kusini)]:
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya  Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Shinyaga na Tabora]:
Hali ya mawingu Kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na  Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro ( Kaskazini)]:
Hali ya mawingu Kiasi, mvua nyepesi  katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya mawingu kiasi   na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24C               
16°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
33°C           
23°C
11:59
12:27
DODOMA
32°C
20°C
12:15
12:36
KIGOMA   
28°C
20°C
12:40
01:02
MBEYA
28°C
15°C
12:19
12:53
MWANZA
28°C
18°C
12:32
12:44
TABORA
26°C
19°C
12:28
12:50
TANGA
32°C
24°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
32°C           
24°C           
11:59
12:27
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumaKutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa
                               Pwani   yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 09/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                           
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/12/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA


TUNAOMBA BOFYAHAPA LIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI NA ZA KUSISIMUAAA(USIPITWEEE)


No comments:

Post a Comment