Zaidi ya watu 200 raia wa Sudan
Kusini wamezama katika ajali ya ferry kwenye mto Nile wakikimbia vita
vinavyoendelea katika mji wa Malakal.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Sudan Kusini.Taarifa zaidi zitakujia hivi punde
No comments:
Post a Comment