Pages

Saturday, January 25, 2014

AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI KILIMANJARO 67 WAHUTUTI, SOMA ZAIDI HAPA


Ajali ya kutisha yatokea maeneo ya KIA jirani na kampuni ya kusaga kokoto ya konoike au njia panda ya kwenda uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport watu zaidi ya 67 wote wamejeruhiwa vibaya japo hakuna aliye fia hapo ila hali zao ni mbaya hasa madereva na makondakta wote.
Ni baada ya lori Semitrela kugonga gari la kampuni ya LM Fusso

No comments:

Post a Comment