Pages

Saturday, January 25, 2014

MOHAMED CHIMSALA (DANNY) (MUDI TRAFIKI) AMEFARIKI LEO KATIKA HOSPITALI YA JESHI LA POLISI KURASINI

Marehemu Mohamed Chimsala (Danny) Enzi za uhai wake

Familia ya Kanal Chimsala wa Jeshi la wananchi Tanzania anaeishi Masaki Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Mohamed Chimsala (Danny) ambaye alikuwa ni askari Polisi kitengo cha Trafiki Mkoa wa kipolisi wa Kinondoni kilichotokea leo asubuhi katika hospitali ya Jeshi la polisi Kurasini, mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam, kwa sasa msiba upo nyumbani kwa kaka yake huko Masaki Dar es salaam, taarifa zaidi za taratibu za mazishi mtazipata baadae, baada ya familia kukaa kikao.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba:-

"in lillahi wa inna ilaihi rajioon"
"Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe"
Amen.

No comments:

Post a Comment