Pages

Wednesday, January 8, 2014

BREAKING NEWZZZ:::AJALI MBAYA YA MALORI YATOKEA KARIBU MIKUMI NAKUSABABISHA USUMBUFU KWA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA HIYO

Moja ya lori lililoacha njia na baada ya kufeli breki

Lori lililogongwa likiwa pembeni ya barabara baada ya kupata ajali eneo la karibu na mikumi

Moja ya lori linavyoonekana kwa ndani baada ya ajalii


Maroli mawili ya mizigo yamegongana eneo la karibu na mikumi mkoani morogoro mida ya saa 10 leo.chanzo cha ajali hiyo ni kufeli kwa breki za lori lenye namba za usajili 1423AA/04 ambapo liliacha njia na kwenda kugonga lori lingine.Ajali hiyo imesababisha foleni kwenye barabara hiyo na kupelekea usumbufu kwa watumiaji wengine wa njia hiyo.Mpaka mtandao wetu wa dj sek unaondoka eneo hilo la tukio kulikuwa hamna vifo bali madereva wamepata majeraha kidogo.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment