Pages

Wednesday, January 8, 2014

VIDEO MPYA YA DIAMOND YAFIKISHA WATAZAMAJI 111,710 NDANI YA SIKU MBILI(2) JIONEE HAPA

Napata faraja kubwa kwa pongezi 
ninazozipata kila siku toka kwa
mashabiki wangu sehemu mbali mbali,Africa 
kuhusu video na wimbo wangu
 wa number 1

 remix nilioufanya 
na Davido..siachi kuwashukuru mashabiki wangu wote
kwa jinsi mnavyoipokea vizuri 
video yangu ambayo mpaka sasa
ikiwa na siku 2 imetazamwa youtube mara 111,700..
Ahsanteni sana ,tuzidi kusapoti mziki wetu ili siku moja
Nchi yetu nayo iwe itambulike kuwa.
Ina wasanii wenye uwezo mkubwa.NAWAPENDA SANA.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) 

No comments:

Post a Comment