Pages

Wednesday, January 22, 2014

BREAKING NEWZZZZZ..MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA


Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.
Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki dunia!

No comments:

Post a Comment