Mbunge
wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akihutubia mkutano wa hadhara
ikiwa ni mfululizo wa mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika katika mji wa Chimara mkoani Mbeya jana.Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa
akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Njombe Mjini kupitia chama
hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika mjini Njombe jana.
Aliyekuwa
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani
Mbeya, Felix Komba akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja
Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na Chadema
wakati wa mkutano huo uliofanyika Chimara janaWananchi
wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa
Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana.Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa
Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiwasili katika mji wa Chimara mkoani Mbeya, ambako alifanya mkutano wa
hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC
-
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA
Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka
serikalini kupitia Wizara ya kilimo kwa lengo la kuwaweze...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment