Pages

Monday, January 27, 2014

CHADEMA WAFUNIKA CHIMALA WAKIONGOZWA NA SUGU,DK SLAA

Sugu kuhutubia ChimaraMbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akihutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni mfululizo wa mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Chimara mkoani Mbeya jana.Katibu wa CCMKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Njombe Mjini kupitia chama hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Njombe jana.
Kumnadi Mgombea NjombeAliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani Mbeya, Felix Komba akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na Chadema wakati wa mkutano huo uliofanyika Chimara janaMkutano MakambakoWananchi wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana.Slaa kuhutubia MakambakoKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.Slaa kuwasili ChimaraKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwasili katika mji wa Chimara mkoani Mbeya, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.

No comments:

Post a Comment