Tunapokaribisha
mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka
katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka
uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka huu.
Basi
katika swala la mavazi na viambatana vyake nimeona ni vyema kushare
nawe viatu vya wanawake na wanaume na mabegi ya kisasa yaliyotengenezwa
kwa kutumia vitenge. ni ubunifu wa hali ya juu tazama hizo picha unaweza
kukubali ninachokuambia.
Binafsi nimefurahishwa na ubunifu mkubwa uliofanywa na KIM FASHION DESIGN ambao wanapatikana NAFASI ARTSPACE karibu na ITV Mikocheni. Kama wahitaji kupata viatu au mikoba hii wasiliana nao hapa +255 714 76 83 98
No comments:
Post a Comment