Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 27, 2014

FABIO,ZAHA HAOOOOOO CARDIFF CITY

2 3b93c
Beki wa Manchester United, Fabio Da Silva amefaulu vipimo vya afya kuhamia Cardiff zaha 454f2
Wilfried Zaha anatarajiwa kujiunga na Cardiff kwa mkopo after limited first team opportunities at Man United
WACHEZAJI wawili wa Manchester United, Wilfried Zaha na Fabio Da Silva wapo karibu kujiunga na Cardiff City.

Winga wa United, Zaha amekwenda kufanyiwa vipimo vya afya St George Park kuekelea kukamilisha uhamisho wa mkopo hadi mwishoni mwa msimu, wakati bek Fabio anatarajiwa kusaini Mkataba wa moja kwa moja.
Zaha amekuwa akitakiwa na Cardiff tangu Oktoba na sasa ndoto za klabu hiyo kumpata nyota huyo zinatimia. Chanzo: binzubeiry

No comments:

Post a Comment