Pages

Wednesday, January 22, 2014

IGP MANGU AMTEMBELEA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Mangu, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad alipofika ofisini kwake Migombani kwa ajili ya kujitambulisha. Katikati ni kamishna wa polisi Zanzibar Hamdani Omar Makamepicha na Salmin Said, OMKR

No comments:

Post a Comment