Pages

Tuesday, January 21, 2014

Mapokezi ya Naibu Waziri Mhe. Jenista Mhagama, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

  Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi  alipowasili wizarani leo asubuhi na kulakiwa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara hiyo.
 Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akipokea kadi ya pongezi kutoka kwa Kamishna wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa na katikati anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome.
Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akikaribishwa ofisini kwake na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome..NA MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment