Tafadhali
husika na kichwa tajwa hapo juu. Mhe. Naibu Waziri, Lazaro Nyalandu
atakutana na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini na wadau
mbalimbali wa sekta ya Maliasili na Utalii kutangaza rasmi matokeo ya
sense ya tembo iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba mwaka jana katika
mifumo ikolojia ya Selous – Mikumi na Ruaha – Rungwa.
Wizara inatoa mwaliko kwa waandishi wote kuhudhulia mkutano huo
utafanyika Ijumaa ya Tarehe 10/01/2014 saa 4:00 asubuhi katika Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam. Imetolewa na Chikambi K. Rumisha Msemaji
wa Wizara ya Maliasili na Utalii 7/1/2014
WENYEVITI WA BODI /BODI ZA SEKTA YA UCHUKUZI SIMAMIENI MIRADI NA
KUHAKIKISHA INAKAMILIKA KWA MUDA NA KWA UBORA UNAOSTAHILI.
-
Na. Vero Ignatus, Arusha
Serikali imesema kuwa idadi ya mizigo inayopita Bandari ya Dar -es -salaam
kwenda nchi nyingine imeongezeka kutoka tani Million 5....
15 hours ago
No comments:
Post a Comment